HUMU NCHINI

Rais Uhuru Kenyatta awataka viongozi wa kidini kulinda sehemu za ibada

Rais Uhuru Kenyatta amewahimiza viongozi wa kidini kuchukua jukumu la kulinda sehemu za ibada ili zisitumike vibaya na wahalifu kwa kisingizio
Posted On 26 Nov 2014

Naibu wa rais William Ruto atarajiwa kusafiri Hague

Naibu wa rais William Ruto leo anatarajiwa kusafiri na kuenda jijini The Hague  nchini Uholanzi ili kuhudhuria vikao vya kesi dhidi yake. Ruto
Posted On 26 Nov 2014

Mahakama yamzuia Mbunge wa Gatundu

Mahakama moja jijini Nairobi imemzuia mbunge wa Gatundu Kusini, Moses Kuria dhidi kutoa matamshi yoyote kuhusiana na shambulizi la Mandera
Posted On 26 Nov 2014

KNUT yasisitiza kuondoa walimu Mandera

Katibu mkuu wa chama cha Walimu nchini, KNUT tawi la Kilindini, Dan Aloo amesisitiza kuwa walimu watashikilia msimamo wa kuondoa walimu katika
Posted On 26 Nov 2014

Watu 4 wafariki baada ya kunywa pombe

Watu wanne wamefariki baada ya kunywa  pombe  inashukiwa kuwa na sumu katika eneo la Katipanga kaunti ya Murang’a. Polisi wamesema kuwa
Posted On 26 Nov 2014

Watu 4 wafariki katika ajali

Watu wanane wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Njabini kaunti ya Nyandarua leo
Posted On 26 Nov 2014

BLOGU ZETU

Lack of leadership is why Lamu county is hurting

The problems with Lamu County are; First, we elected MCA who have no idea of what they are doing and ignorant of what our needs are and what what
Posted On 05 Sep 2014

MWACHENI RAILA. na Ahmed Shibata

Miaka ya tisini, Tanzania ilikuwa na gwiji wa siasa za upinzani aliyeitwa Agostino Lyatonga Mrema. Ufuasi wake ulikuwa mkubwa na uliojaa jeuri
Posted On 20 Aug 2014

KIMATAIFA

Watu 60 wauawa Syria

Zaidi ya watu 60 wameuwawa katika mashambulizi kadhaa ya angani yaliyofanywa na Jeshi la serikali ya Syria. Raia wengi wameuwawa katika
Posted On 26 Nov 2014

Waziri wa utalii nchini Burkina faso ajiuzulu

Waziri wa  utalii  na utamaduni  nchini Burkina Faso, Adama Sagnon  amejiuzulu baada ya kukabiliwa na upinzani kuhusu uteuzi wake. Sagnon 
Posted On 26 Nov 2014

Marekani yaomba wahisani kusaidia wakimbizi walioko Kenya

Marekani imetoa wito kwa wahisani kujitokeza kwa wingi ili kuwasaidia wakimbizi takriban nusu milioni waliopo nchini Kenya. Marekani imesema kuwa
Posted On 26 Nov 2014

Makamu Rais Zimbabwe aondolewa ZANU-PF

Makamu wa rais wa Zimbambwe, Joyce Mujuru ametolewa katika kamati ya chama tawala cha ZANU-PF  kwa tuhuma za kutaka kumuua rais wa nchi hiyo
Posted On 26 Nov 2014

Ghasia zazuka nchini Marekani

Ghasia zimezuka nchini Marekani baada ya wanasheria kuamua kutomfungulia mashtaka polisi Daren Wilson aliyeuwa kijana mweusi Michel Brown kwa
Posted On 25 Nov 2014

VITENGO

Watu 60 wauawa Syria

Posted On26 Nov 2014

Waziri wa utalii nchini Burkina faso ajiuzulu

Posted On26 Nov 2014

Marekani yaomba wahisani kusaidia wakimbizi walioko Kenya

Posted On26 Nov 2014

Makamu Rais Zimbabwe aondolewa ZANU-PF

Posted On26 Nov 2014

Ghasia zazuka nchini Marekani

Posted On25 Nov 2014

UKURASA WETU WA TWITTER

TAARIFA ZA SPOTI

Morocco yakataa kuwa mwenyeji wa kombe la bara Afrika

Taifa la Morocco limesema kuwa haliko tayari kuwa mwenyeji wa kombe la bara Afrika kwa kuhofia ugonjwa wa Ebola.Taifa hilo limesema kuwa haliko
Posted On 12 Nov 2014

Wachezaji waitwa kuchezea timu zao za taifa

Wachezaji 14 wa klabu ya real madrid wameitwa kuchezea timu zao za  taifa,miongoni mwa wacezaji hao ni Ica sillas,Isco,Toni kroos wa
Posted On 12 Nov 2014

Matokea ya mechi za Ligi ya Uhispania..

Hapo jana.. Celta Vigo 0 – 0 Granada Malaga 2 – 1 Eibar Sevilla 1 – 1 Lavante Espanyol 1 – 1 Villareal Valencia 0 –
Posted On 10 Nov 2014

BIASHARA

Bei ya kahawa aina ya AA yashuka

Bei ya kahawa ya kiwango cha juu aina ya AA imeshuka na kupatikana kwa dola 332 kwa gunia mmoja la kilo 50 iklinganishwa na dola 336 ya wiki
Posted On 26 Nov 2014

Teknolojia ya simu itasaidia asilimia 80 ya wanawake

Teknolojia ya simu itasaidia  asilimia 80 ya wanawake barani Afrika kupata huduma za fedha. Akiongea jijini Nairobi Waziri wa fedha  wa Nigeria
Posted On 25 Nov 2014

Kenya inapanga kukopa dola milioni 750

Serikali ya Kenya inapanga kuomba dola millioni 750 kama mkopo  kutoka shirika la fedha la kimataifa ili kuendeleza miradi yake. Fedha hizo
Posted On 20 Nov 2014

Kampuni ya KPLC yapata mkopo wa dola milioni 190

  Kampuni ya kusambaza umeme ya Kenya Power imesema kuwa imepata mkopo wa dola millioni 190 kutoka benki ya Standard Chartered Bank ili
Posted On 20 Nov 2014