HUMU NCHINI

Hisia mseto zazidi kuibuka kuhusu ziara ya Obama.

Ziara ya rais wa Marekani, Barrack Obama inaendelea kuzua hisia mseto nchini, viongozi kutoka eneo la Luo- Nyanza wamesema kuwa wanautaka ubalozi
Posted On 21 May 2015

Baraza la magavana lafanya mageuzi

Gavana wa kaunti ya Meru,Peter Munya ndiye mwenyekiti mpya wa baraza la magavana huku gavana wa Kwale Salim Mvurya ambaye alikua anagombania kiti
Posted On 21 May 2015

Hakuna ushuhuda wa Obama kutembelea Kogalo

Familia ya rais wa Marekani, Barrack Obama imefutilia mbali tetesi kuwa rais huyo atazuru nyumbani kwao Kogelo kama ilivyoripotiwa na baadhi ya
Posted On 19 May 2015

Wanne wafariki katika ajali

Watu wanne wamefariki baada ya gari dogo walimokuwa wakisafiria kugongana ana kwa ana na trela katika maeneo ya Mukaa kaunti ya Makueni. Wanne
Posted On 19 May 2015

Singapore yazuia pembe kutoka Kenya

  Maafisa Singapore wanazuilia kiwango kikubwa cha pembe za ndovu kutoka Kenya zenye thamani ya zaidi ya shilingi nusu bilioni. Mamlaka ya
Posted On 19 May 2015

Rais Kenyatta apendekeza uchaguzi uhairishwe Burundi

Rais Uhuru Kenyatta ameishinikiza serikali ya Burundi kuahirisha uchaguzi nchini humo hadi pale taifa la Burundi litakapo kuwa amani thabiti.
Posted On 18 May 2015

BLOGU ZETU

KISWAHILI KITILIWE MKAZO KWA WANAFUNZI WA TAALUMA YA UANAHABARI.

NA:- James Kombe Mojawapo ya vigezo vinavyozingatiwa wakati wa usajili wa wanafunzi katika taaluma ya uanahabari ni ukwasi wa lugha. Taasisi
Posted On 25 Mar 2015

KIMATAIFA

Tisa wauawa baada ufyetulenaji wa risasi Marekani

  Watu tisa wameuwawa na wengine 18 kujeruhiwa vibaya baada ya tukio la kufyetuliana risasi kati ya magenge mawili ya pikpiki katika eneo la
Posted On 18 May 2015

Saba wafariki katika kambi za wakimbizi wa Burundi

Raia saba wa Burundi wamefariki nchini Tanzania kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu miongoni mwa wakimbizi hao nchini humo. Shirika la
Posted On 18 May 2015

Morsi ahukumiwa kifo na mahakama ya Misri

  Rais wa zamani wa Misri, Mohammed Morsi amehukumiwa kifo na mahakama moja kuu nchini humo kwa kosa la kuwauwa waandamanaji dhidi ya
Posted On 16 May 2015

Serikali ya Chad kupambana na Boko Haram

Serikali ya Chad imeahidi kuongeza Juhudi zake za kupambana na kundi la wapiganaji la Boko Haram. Waziri wa Ulinzi nchini humo Benaïndo Tatola
Posted On 16 May 2015

Pierre Nkurunziza ang’atuliwa mamlakani Burundi

Ripoti kutoka nchini Burundi, Bujumbura zinasema kuwa kamanda mmoja wa kijeshi ametangaza kuwa hamtambui tena Pierre Nkurunziza kama rais wa
Posted On 13 May 2015

VITENGO

Tisa wauawa baada ufyetulenaji wa risasi Marekani

Posted On18 May 2015

Saba wafariki katika kambi za wakimbizi wa Burundi

Posted On18 May 2015

Morsi ahukumiwa kifo na mahakama ya Misri

Posted On16 May 2015

Serikali ya Chad kupambana na Boko Haram

Posted On16 May 2015

Pierre Nkurunziza ang'atuliwa mamlakani Burundi

Posted On13 May 2015

UKURASA WETU WA TWITTER

TAARIFA ZA SPOTI

LIGI KUU YA UINGEREZA KUKAMILIKA WIKENDI HII.

  Katika uga wa Emirates Arsenal vs West bromich Albion. Aston Villa vs Burnley – Villa Park Stoke City vs Liverpool – Britania Newcastle u
Posted On 22 May 2015

Rama Salim akana madai ya kutaka kujiunga na Gor Mahia.

  Mkenya Rama salim anayeichezea Coastal Union Nchini Tanzania amekana madai kuwa atajiunga na klabu yake ya zamani ya gor Mahia.
Posted On 22 May 2015

Luiz Figo ajitoa katika kinyang’anyiro cha urais wa FIFA

Nyota wa zamani wa soka wa Ureno , Luis Figo ambaye ni mmoja wa waliojitosa kuwania nafasi ya urais wa shirikisho la  soka duniani FIFA ,
Posted On 22 May 2015

BIASHARA

UNEP kutoa uamuzi wa kujenga kituo cha uzalishaji wa kawi ya mvuke wa ardhi.

Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa la UNEP  linatarajiwa kuchukua uamuzi wa kujenga taasisi ya  teknolojia ya  kisasa ya kuzalisha kawi
Posted On 21 May 2015

Bei ya mafuta yaongezeka nchini

Bei ya mafuta imepanda hii leo katika masoko ya ulimwengu huku uzalishaji wa bidhaa hiyo ikiongezeka. Bei ya mafuta kwa pipa moja imepanda kwa
Posted On 18 May 2015

Shilingi ya Kenya yadhibitiwa dhidi sarafu za kigeni

Shilingi ya Kenya imeweza kubidhitiwa leo dhidi ya sarafu za kigeni huku mahitaji ya Dola yakipungua. Katika benki za humu nchini, Shilingi
Posted On 18 May 2015

Biashara ipewe kipaumbele wasema wasomi

Wakenya wengi wametoa mwito kwa wabunge katika bunge la kitaifa na la seneti pamoja na zile za kaunti, kuhakikisha kuwa wamebuni na kupitisha
Posted On 16 May 2015