HUMU NCHINI

Raia wa Uingereza kutumikia kifungu nchini mwake.

Raia mmoja wa Uingereza mwenye umri wa miaka 55 amehukumiwa kifungo cha miaka 17 gerezani na mahakama ya moja ya Birmingham baada ya kupatikana
Posted On 27 Feb 2015

Mwito kwa serikali ya kitaifa.

Mwito umetolewa kwa serikali ya kitaifa kuingilia kati na kutatua mzozo baina ya serikali mbili za kaunti ya Kwale na Taita-Taveta ambao
Posted On 27 Feb 2015

Mwili unaosemekana kuwa wa Yebei.

Jopo la maafisa wa kuu wa upelelezi wakiwemo madaktari wakuu wa kuchunguza maiti kutoka nchini na mataifa ya kigeni, tayari wamewasili mjini Voi
Posted On 27 Feb 2015

Ababu namwaba kujua hatma yake.

Mwenyekiti wa kamati ya Bunge kuhusu uhasibu Ababu namwaba anatarajiwa kujua hatama yake asubuhi ya Leo pale kamati hiyo itakapojadili hoja ya
Posted On 26 Feb 2015

Mwili wa mwanamume waonekana ukiolea.

    Mwili wa mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 30, umepatikana usiku wa kuamkia leo, ukielea juu ya mto Chania mjini Nyeri ukiwa
Posted On 26 Feb 2015

Matokea ya kidato cha nne kutolewa.

Hatimaye zaidi ya wanafunzi laki nne na nusu waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana wanatarajiwa kupata matokeo yao siku ya jumanne juma
Posted On 25 Feb 2015

BLOGU ZETU

KIMATAIFA

Utoaji wa chanjo dhidi ya Ebola.

Shirika la afya duniani WHO litatoa uamuzi kuhusu zoezi la utoaji wa chanjo dhidi ya Ebola mnamo Agosti mwaka huu.   Haya ni kulingana na
Posted On 28 Feb 2015

Shambulizi la Boko Haram.

Makumi wauwawa na wengine kukimbia makazi yao katika vijiji vilivyoko kaskazini mashariki mwa Nigeria baada ya kundi la wapiganaji la Boko Haram
Posted On 28 Feb 2015

Raia 91 wa Syria watekwa nyara.

Kundi la wapiganaji la Islamic state limewateka nyara watu 91 katika eneo kaskazini mwa taifa la Syria.Haya ni kulingana na shirikana moja haki
Posted On 25 Feb 2015

Raia 105 wa Ethiopa kuwachilia huru.

Raia 105 wa Ethiopa waliowakitumikia kifungo cha miezi miwili gerezani mjini Isiolo kwa kuwa nchini kinyume cha sheria, leo amepata afueni baada
Posted On 25 Feb 2015

Wanamgambo 207 wa Boko Haram wauawa.

Wanamgambo 207 wa kundi la Boko Haram wameuawa na wanajeshi wa Chad katika mpaka wa nchi  hiyo  na Cameroon usiku wa kuamkia leo.Inaripotiwa kuwa
Posted On 25 Feb 2015

VITENGO

Utoaji wa chanjo dhidi ya Ebola.

Posted On28 Feb 2015

Shambulizi la Boko Haram.

Posted On28 Feb 2015

Raia 91 wa Syria watekwa nyara.

Posted On25 Feb 2015

Raia 105 wa Ethiopa kuwachilia huru.

Posted On25 Feb 2015

Wanamgambo 207 wa Boko Haram wauawa.

Posted On25 Feb 2015

UKURASA WETU WA TWITTER

TAARIFA ZA SPOTI

IVORY COAST NDIO MABINGWA WA KOMBE LA BARA LA AFRIKA MWAKA 2015.

Ni dahiri shahiri kwamba Taifa la Ivory Coast ndio mabingwa wa Kombe la Bara la Afrika mwaka 2015 baada ya kuwalaza Ghana 9-8 kupitia mikwaju ya
Posted On 09 Feb 2015

Dirisha dogo la uhuamisho lafungwa.

Hatiamye dirisha dogo la Usajili limefungwa na vilabu mbali mbali vimefanya usajili wa aina yake… Miongoni mwa wachezaji ambao wamejiunga na
Posted On 03 Feb 2015

Shanzu wawalaza Shimo Borstal 3-0

Vijana wa Shanzu Swanzy wamewalaza Shimo la Tewa Borstal Instutute mabao 3-0 katika mechi ya kirafiki iliyogaragazwa katika uga wa  Shimo
Posted On 03 Feb 2015

BIASHARA

Ratiba ya meli zinazotarajiwa kuwasili.

Na katika ratiba ya meli zinazotarajiwa kuwasili katika Bandari ya Mombasa hii leo ni :MELI YA MIZIGO  NA MAGARI : TAI HARVEST, MARIELLE BOLTEN
Posted On 27 Feb 2015

Ratiba ya meli zinazotarajiwa kuwasili.

Na katika ratiba ya meli zinazotarajiwa kuwasili katika Bandari ya Mombasa hii leo ni : MELI YA MIZIGO NA MAGARI : KOTA NIPAH TAI HARVEST. MELI
Posted On 26 Feb 2015

Ratiba ya meli zinazotarajiwa kuwasli.

Na katika ratiba ya meli zinazotrajiwa kuwasli katika Bandari ya Mombasa hii leo ni : MELI YA MIZIGO NA MAGARI : CAPTAIN STEVEN BENNETT LONG
Posted On 23 Feb 2015

Bei ya mafuta kupanda.

Bei ya mafuta  katika  masoko ya ulimwengu imepanda leo huku kukiwa na matumaini ya kupanda zaidi katika siku za usoni.Bei ya mafuta imeongezeka 
Posted On 23 Feb 2015